Mali itachuana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika fainali ya mchezo wa soka kuwania ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani CHAN. Mali ilifuzu siku ya Alhamisi baada ya kuifunga Ivory Coast katika mchuano wa nusu fainali jijini Kigali nchini Rwanda. Yves Bissoouma ndiye mchezaji aliyeipa Mali bao la ushindi katika dakika ya […]
The post CHAN 2016: Mali kumenyana na DRC fainali appeared first on Soka25east.